Monday, July 20, 2015

SEMINA YA KUKUA KIUCHUMI ZAIDI YA COACH JAMES MWANG'AMBA



Wahi nafasi katika semina ya kukua kiuchumi zaidi ya Coach James Mwang'amba itakayofanyika New Safari Hotel, siku ya Jumamosi tarehe 25 Julai 2015, saa 3 asubuhi hadi saa 11:30 jioni. Kujiandikisha, njoo ofisini kwenye jengo la shirika la Bima la Taifa, ghorofa ya 2, mtaa wa Boma, jirani na ofisi za Mwanasheria mkuu wa serikali.

Faida za Semina:
Jinsi ya kuanzisha biashara bila pesa.
Siri tatu tuu za kukuza biashara yako ya aina yeyote ile.
Siri kuu ya kufanikiwa katika biashara ya mtandao.
Mambo muhimu ya kuzingatia kabla na baada ya kununua hisa.
Jinsi ya kuwekeza kwenye sekta ya misitu/kilimo cha miti na ufugaji wa nyuki.


Gharama:

VIP Package Tshs. 100,000/-
Kawaida Tshs. 30,000/-
Special VIP Package itakuwezesha,
Kupata usaidizi/uangalizi kwa miezi 6 mfululizo.
Utaingizwa kwenye group maalum Whatsapp linaloitwa Think Big ( Business & Investing Group).
Utapata full DVD ya semina yote ya siku nzima kama iliyofanyika Dar yenye ziada kama vile jinsi ya kulipa kodi na kuepuka taabu na jinsi ya kutengeneza sabuni,n.k.
Utapata DVD na CDS zingine za Mwang'amba.
Utashiriki kwenye networking dinner pamoja na wajasiriamali wengine ambapo Coach James Mwang'amba pia atakushirikisha SIRI alizojifunza kutoka kwa Mabilionea wakubwa hapa Barani Afrika na duniani katika miaka 10 ya kujifunza mafanikio, na yeye hadi kufikia Ubilionea kwa vitendo.
Kiingilio cha kawaida (30,000=) kitakuwezesha:
Kupata masomo yote yatakayofundishwa siku hiyo ya semina, na kuunganishwa kwenye kundi la wajasiriamali wenye nguvu.


Kwa Mawasiliano ya kushiriki semina, wasiliana na waratibu Interchocks Marketing Services Arusha. For coaching or consulting services write to coach@jamesmwangamba.com:
Cell #1: 0754366447
Cell # 2: 0715366447


No comments:

Post a Comment